Sikiliza mahojiano ya mwandishi wetu Nairobi Kenya akimhoji Mmarekani-Myahudi anayeeleza masikitiko yake kuhusu mzozo unaoendelea wa Israel na Hamas. Endelea kusikiliza...
Mpiga kura asema, Wayahudi watakuwa salama pale Wapalestina watapokuwa salama
Kiungo cha moja kwa moja
Ikiwa imebakia siku majuma kadhaa kabla ya uchaguzi wa rais Marekani, raia wa nchi hiyo wanaoishi nchini Kenya wanafuatilia mazungumzo ya pande mbili za kisiasa zinazowania uongozi wa kisiasa wa taifa hilo lenye ushawishi mkubwa duniani.
Zinazohusiana
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017
Forum