Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Aprili 20, 2024 Local time: 20:43

Odinga awataka wafuasi wa Nasa kutopiga kura

Wafuasi wa Muungano wa upinzani (Nasa) wakiwa Uhuru Park, Nairobi, Kenya.

Katika mkutano huu Raila Odinga amewataka wafuasi wa chama hicho kutokushiriki katika marejeo ya uchaguzi wa urais yatakayofanyika Alhamisi, akisema chama hicho kitabadilika na kushiriki katika vuguvugu za harakati za kisiasa nchini.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG