Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Machi 27, 2023 Local time: 17:46

Mkutano wa Hanoi wajenga uhusiano mzuri kati ya Trump, Kim

Rais Donald Trump amesema mkutano wa Hanoi, Vitenam, kati yake na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, Jumatano, umekuwa na mafanikio."Tulipiga hatua ya kutosha na nafikiri maendeleo makubwa kuliko yote ni maelewano yetu ambayo kwa kweli ni mazuri,” Trump amesema kumwambia Kim.


Pia amesifia mapokezi yao huko Vietnam “kwa kweli wametutandikia zulia jekundu" katika makaribisho hayo ya mkutano uliofanyika katika hoteli ya Metropole huko Hanoi, Vietnam Februari 27, 2019.

16x9 Image

Jaffar Mjasiri

Ni Mwandishi na Msimamizi wa Mitandao ya Kijamii, VOASwahili

 

Makundi

XS
SM
MD
LG