Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Aprili 21, 2024 Local time: 07:42

Miili takriban 440 iliyozikwa katika kaburi moja yagunduliwa Ukraine


Miili takriban 440 iliyozikwa katika kaburi moja yagunduliwa Ukraine
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Maafisa wa Ukraine wamesema wamegundua kaburi lenye miili takriban 440, mingi kati ya hiyo ikiwa ya raia katika mji wa Izium upande wa kaskazini mashariki mwa Ukraine, ambapo wanajeshi wa Russia waliondolewa siku chache zilizopita.

XS
SM
MD
LG