Shamrashamra za fataki na maonyesho mbalimbali zikiwemo silaha za kijeshi na ndege za vita zitapita wakati wa kilele cha sherehe hizo kutoa heshima kwa mgeni rasmi.
Matayarisho ya sherehe za miaka 243 ya kuzaliwa kwa taifa la Marekani
Rais Donald Trump atatoa hotuba ya salamu zake kwa taifa la Marekani Alhamisi, Jioni

1
Moja ya magari ya kivita aina ya Bradley Fighting Vehicles likiendeshwa kuingia katika uwanja wa Kumbukumbu wa Lincoln Memorial kwa ajili ya matayarisho ya salamu za Rais wa Marekani Donald Trump kwa taifa siku ya uhuru wa Marekani Julai 4, 2019, Washington.

2
Gari jingine la kivita aina ya Bradley Fighting Vehicles

3
the Lincoln Memorial fMatayarisho ya siku ya uhuru ya Marekani yakiendelea mjini Washington katika uwanja wa Lincoln Memorial.

4
Gari za kivita zikiwa tayari kutoa ulinzi wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya uhuru wa Marekani Alhamisi.