Raia wa Mali sasa wanajiandaa kufanya uchaguzi mkuu.
Mali yajiandaa kufanya uchaguzi mkuu.
1
Mmjoa wa wanachama wa Tuareg akicheza katika kampeni za mkutano wa mgombea urais Ibrahim Boubacar Keita kwenye mji wa Timbuktu Julai 24 , 2013.
2
Mpiga kura akitafuta jina lake katika orodha ya wapiga kura kwenye kituo cha Bamako, Mali, Julai 23, 2013.
3
Mchuuzi akipita katika duka akiwa na picha zilizopambwa matukio ya uchaguzi ya kuunga mkono mgombea Dramane Dembele katika soko katikati ya Timbuktu.
4
Issa Djire mfuasi wa mgombea urais Dramane Dembele akiwa amesimama karibu na picha ya Dembele nje ya nyumba yake mjini Bamako , Mali.