Raia wa Mali sasa wanajiandaa kufanya uchaguzi mkuu.
Mali yajiandaa kufanya uchaguzi mkuu.
5
Kabila la wawindaji walioko Mali wanaoitwa Dogon Hunters wakifyatua bunduki kumkaribisha mgombea urais Ibrahim Boubacar Keita katika mkutano wa kampeni.
6
Mgombea urais Ibrahim Boubacar Keita akizungumza katika mkutano wa kampeni kwenye mji wa Bamako, Mali, Julai 21 2013.
7
Mgombea urais Soumaila Cisse akipunga mkono kwa wafuasi wake kwenye kampeni huko Bamako Julai 20, 2013.
8
Wanawake na wasichana wakiwa wamevalia nguo zilizotengenezwa kwa kitambaa cha Wax wakiwa wamembeba mtoto aliyevalia nguo yenye picha ya mgombea urais Soumaila Cisse.