Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Septemba 11, 2024 Local time: 06:10

Maandalizi ya sherehe za kuapishwa Biden na Harris zakamilika

Jengo la Bunge la Marekani likiwa tayari kwa sherehe za kuapishwa Rais mteule Joe Biden na Makamu Rais mteule Kamala Harris Jumatano huku uwanja ukiwa umepambwa kwa bendera katika viwanja vya  National Mall mjini Washington.

Biden na Harris walihudhuria kumbukumbu maalum ya kuwaenzi waliokufa kutokana na COVID-19 mjini Washington, Jumanne join.

Pia usalama umeimarishwa katika Mtaa wa Pennsylvania wakati wa maandalizi ya sherehe za 59 za kuapishwa Rais mteule Joe Biden na Makamu wa Rais mteule Kamala Harris Jumatatu, Januari 18, 2021 katika Bunge la Marekani mjini Washington.

Pandisha zaidi

16x9 Image

Jaffar Mjasiri

Ni Mwandishi na Msimamizi wa Mitandao ya Kijamii, VOASwahili

 

Makundi

XS
SM
MD
LG