Dkt. Martin Luther King Jr. amemwacha mkewe Coretta Scott King, wakiwa wamekaa na watoto wao tatu; Martin Luther King III, 5, Dexter Scott, 2, na Yolanda Denise, 7.
Kumbukumbu ya Dr Martin Luther King, Jr
Kabla na baada ya mauaji ya Martin Luther Jr

5
Watoto wa Mchungaji Martin Luther King, Jr., kutoka kushoto Dexter Scott King, the Rev. Bernice King, Martin Luther King III and Yolanda King Februari 6, 2006.

6
Martin Luther King III akiongea katika Kanisa la Church of God in Christ, Jumanne, April 3, 2018 huko Mji wa Memphis, Tennessee, Marekani.

7
Mwanamke aliyekuwa hajatambulika akilia wakati mamia ya waombolezaji wakipita kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa kiongozi wa haki za raia Martin Luther King, Jr., April 5, 1968, kabla ya kupelekwa kuzikwa huko Atlanta.

8
Mchungaji Martin Luther King Jr. akiwa na viongozi wengine April 3, 1968 ambao ni wanaharakati wa haki za raia siku moja kabla ya kuuwawa.