Dkt. Martin Luther King Jr. amemwacha mkewe Coretta Scott King, wakiwa wamekaa na watoto wao tatu; Martin Luther King III, 5, Dexter Scott, 2, na Yolanda Denise, 7.
Kumbukumbu ya Dr Martin Luther King, Jr
Kabla na baada ya mauaji ya Martin Luther Jr

1
Dkt Martin Luther King, Jr. akiwa na Mchungaji Jesse Jackson (kushoto) muda mfupi kabla ya kutoa hotuba yake ya mwisho kwa wafanyakazi wanaofanya usafi katika mji wa Memphis waliokuwa katika mgomo April 4, 1968.

2
Attendees are seen during a silent march and rally on the National Mall to mark the 50th anniversary of the assassination of civil rights leader Rev. Martin Luther King Jr. in Washington, U.S., April 4, 2018. REUTERS/Eric Thayer TPX IMAGES OF THE DAY - RC1328E3CB80
Watu waliohudhuria maadamano ya kimya kimya na mkusanyiko mkubwa katika eneo la National Mall kuadhimisha miaka 50 ya kuuwawa kwa kiongozi wa haki za raia Mchungaji Martin Luther King, Jr. huko Washington, Marekani Aprili 4, 2018.

3
Picha ilipigwa kutoka angani ikionyesha wingu la moshi lililokuwa linaendelea kusambaa kutoka katika majengo yaliyokuwa yanaunguwa upande wa kaskazini mashariki ya Washington, DC, Aprili 5, 1968.

4
Yolanda Renee King, mjukuu wa Martin Luther King Jr, akiongea wakati katika maandamano ya kushinikiza Uhai wetu wakiunga mkono kuwepo udhibiti wa silaha mjini Washington, Machi 24, 2018.