Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 12, 2024 Local time: 04:21

Kombe la Dunia: Ghana yaibwaga Korea Kusini kwa mabao 3-2


Kombe la Dunia: Ghana yaibwaga Korea Kusini kwa mabao 3-2
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Ghana yaibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Korea Kusini na kuwapa matumaini mashabiki wa soka barani Afrika.

Utawala wa Rais Biden unatafuta dola za Marekani bilioni 37 ikiwa ni msaada wa Ukraine katika wiki zijazo kabla ya baraza jipya la wawakilishi kuanza kazi Januari.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG