Breaking News
Jumanne, Novemba 17, 2026 Local time: 04:28

Kenya: Dkt Jill Biden azitaka nchi kuungana na Marekani kutoa misaada


Kenya: Dkt Jill Biden azitaka nchi kuungana na Marekani kutoa misaada

No media source currently available

Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden amekamilisha ziara ya siku tatu nchini Kenya. Ungana na mwandishi wetu mjini Nairobi akikuletea maelezo kamili kuhusu ziara hiyo wakati nchi ya Kenya na nchi nyingine jirani zikikabiliwa na ukame na ukosefu wa chakula. Endelea kusikiliza...

​
XS
SM
MD
LG