Utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump umeendelea kutoa hoja zake juu ya mahitaji ya ushuru kwa bidhaa kutoka Canada, China na Mexico. Nchi hizo tatu zimetishia kuchukua hatua za kulipiza kisasi, lakini zinasema bado ziko tayari kwa mazungumzo na ushirikiano na Marekani.
JARIDA LA WIKIENDI: Hoja za Trump kuzitoza ushuru Canada, China na Mexico.
Forum