Taxi mtandao maarufu kama Uber imetangaza kusitisha huduma zake nchini Tanzania, ikitaja nauli elekezi za Mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini -LATRA kama sababu ya maamuzi hayo na kudai itarejesha huduma zake kwa nchi hiyo iwapo sheria zitabadilishwa.