Wapiga kura wa Ufaransa wameshiriki katika uchaguzi wa rais wa kihistoria siku ya Jumapili kumchagua rais mpya kati ya Emmanuel Macron mgombea mwenye msimamo wa wastani anaeunga mkono Umoja wa Ulaya na Marine Le Pen mzalendo wa itikadi kali mpinga wageni na Umoja wa Ulaya.
Wafaransa washiriki katika uchaguzi muhimu wa rais

1
Mpiga kura akichukua vyeti vya kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais Ufaransa mjini Marseille, May 7, 2017.

2
Mgombea kiti cha rais Marine Le Pen akiondoka nyumbani kwake Henin Beaumont, ona kurudi Paris baada ya kupiga kura yake. May 7, 2017.

3
Wapiga kura katika kituo cha kura mjini Lyon katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais. May 7, 2017.

4
Mgombea huru mwenye msimamo wa wastani Emmanuel Macron aakiondoka kutoka kituo cha kupiga kura cha Le Touquet, May 7, 2017.