Wapiga kura wa Ufaransa wameshiriki katika uchaguzi wa rais wa kihistoria siku ya Jumapili kumchagua rais mpya kati ya Emmanuel Macron mgombea mwenye msimamo wa wastani anaeunga mkono Umoja wa Ulaya na Marine Le Pen mzalendo wa itikadi kali mpinga wageni na Umoja wa Ulaya.
Wafaransa washiriki katika uchaguzi muhimu wa rais
5
wafaransa wasubiri kupiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi katika kituo cha Bron, May 7, 2017.
6
Wapiga kura wakaribishwa kwa kupewa mikate na keki walipowasili katika shule ya sekondari ya Francais Charles de Gaulle katika mtaa wa South Kensington jijini London, May 7, 2017.
7
Usalama uko katika hali ya juu wakati wafaransa wanapiga kura katika uchaguzi wa kihistoria. May 7, 2017.
8
Bendera ya Ufaransa ikipeperushwa wakati wapiga kura wanawasili kupiga kura zao mjini Le Touquet, May 7, 2017.