Karibu watu 56 wamefariki na zaidi ya 100 kujeruhiwa baada ya lori la mafuta kulipuka Alhamisi usiku huko magharibi ya Msumbiji katika kijiji cha Caphirizanje, jimbo la Tete.
Mlipuko wa lori la mafuta umesababisha vifo 56 Msumbiji

1
Watu wakimsaidia muathiriwa wakimondowa kutoka eneo la mlipuko wa lori la mafuta katika jimbo la Tete, Msumbiji, 17 novembre 2016.

2
Waathiriwa walojeruhiwa vibaya wasubiri kupelekwa hospitali, 17 novembre 2016.

3
Watu watumia shuka kumokoa muathiriwa wa mlipuko wa lori la mafuta huko Msumbiji jimbo la Tete, 17 novembre 2016.

4
Lori la mafuta lililolipuka katika jimbo la Tete, huko Msumbiji, 17 novembre 2016.