Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Mei 22, 2024 Local time: 11:31

Wahamiaji wavuka mpaka kwa lazima kuingia Hispania kutoka Morocco

Wakati serikali ya Moroco ikitishia kutodhibiti wimbi la wakimbizi wanaokimbilia Ulaya ikiwa mkataba wa ushirikiano wa kilimo na Ulaya hautaidhinishwa, karibu wahamiaji 500 waliingia kwa nguvu eneo linalokaliwa na Hispania la Ceuta siku ya Ijuma Februari 17, 2017.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG