Wakazi wa mji mkuu wa Kongo wa Kinshasa waliandamana Jumanne tarehe 20 Disemba kupinga Kabila kuendelea na utawala baada ya muhula wake kumalizika.
Maandamano Kinshasa kupinga mamlaka ya Kabila

1
Katika mtaa wa Lingwala, katika mji mkuu, polisi wanawatawanya waandamanaji kwa gesi ya kutoa machozi. Disemba 20 2016. (VOA/Charly Kasereka)

2
Wakazi wakiimba na kuwasha moto vizuizi vya barabarani Kinshasa

3
Polisi mmoja wa kongo akitizama maandamano katika mji mkuu wa Kinshasa, Disemba 20 2016.

4
Polisi wamekaa juu ya jengo la kituo kikuu cha treni cha Gombe, Kinshasa, Disemba 19 2016.