Upatikanaji viungo

Siku ya tatu ya Mkutano Mkuu wa chama cha Demokratik

Rais Barack Obama, mgombea mwenza Tim Kaine na makamu rais Joe Bidenj wamewika kwenye siku ya tatu ya mkutano mkuu wa chama cha demokratik mjini Philadelphia.
Onyesha zaidi

Wagombea viti vya Bunge la Marekani wajulishwa kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama cha demokratik mjini  Philadelphia, Pennsylvania, July 27, 2016.
1

Wajumbe wa California walokua na upinzani mwanzoni mwa mkutano wanabeba mabango siku ya tatu kuunga mkono mkutano mkuu.mjini Philadelphia, July 27, 2016.
2

Wasani wakiimba wimbo wa "What the World Needs Now" wakati wa siku ya tatu ya mkutano mkuu wa chama cha Demokratik Philadelphia, July 27, 2016.
3

Mbunge Nita Lowey, D-NY., kulia, Mbunge. Paul Tonko, D-N.Y., Mbunge Louise Slaughter, D-N.Y., wajumbe wengine wakiimba pamoja na wasani waloimba wimbo wa "What the World Needs Now" huko Philadelphia, July
4

Pandisha zaidi

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG