Polisi wa Uturuki wa kupambana na ghasia wamewaondowa walokuwa wanalalamika kutoka uwanja mkuu a kati wa Istanbul baada ya mapambano ya usiku kati ya pande mbili Jumanne Juni, 11 2013.
Polisi wa Uturuki wachukua udhibiti wa uwanja wa Taksim
1
Moja kati ya vijana walokuwa wakilalamika ajifunika na blanketi akitembea karibu na bustani ya Gezi Park, Istanbul, June 12, 2013.
2
Watu wanaolalamika wamelala kwnye bustani ya Gezi Park, Istanbul, June 12, 2013.
3
Mabomu ya kutowa machozi yafyetuliwa kwa muda mrefu katika uwanja wa Taksim wakati wa mapambano kati ya polisi na waandamanaji, Istanbul, June 11, 2013.
4
Polisi wakichukua udhibiti wa uwanja wa Taksim Square, Istanbul, June 11, 2013.