Polisi wa Uturuki wa kupambana na ghasia wamewaondowa walokuwa wanalalamika kutoka uwanja mkuu a kati wa Istanbul baada ya mapambano ya usiku kati ya pande mbili Jumanne Juni, 11 2013.
Polisi wa Uturuki wachukua udhibiti wa uwanja wa Taksim
5
Mwandamanaji akijaribu kukwepa maji yanayotolewa kwa nguvu kutoka mabomba ya magari ya polisi wakati wa mapambano kwenye uwanja wa Taksim Square mjini Istanbul, June 11, 2013.
6
Mmoja kati ya wanaolalamika akiwarushia tena polisi bom la kutoa machozi wakati wa mapambano na polisi kwenye uwanja wa Taksim Square mjini Istanbul, June 11, 2013.
7
Mmoja kati ya wanaolalamika akiwarushia tena polisi bom la kutoa machozi wakati wa mapambano na polisi kwenye uwanja wa Taksim Square mjini Istanbul, June 11, 2013.
8
Mwandamanaji akirusha bomu la petroli kwnye gari la kudhibiti ghasia kwenye uwanja Taksim mjini Istanbul, June 11, 2013.