Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 18, 2024 Local time: 05:35

Biden akabiliwa na shinikizo la kushughulikia kupanda kwa gharama za maisha


Biden akabiliwa na shinikizo la kushughulikia kupanda kwa gharama za maisha
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Rais wa Marekani Joe Biden anakabiliwa na shinikizo la kushughulikia kupanda kwa gharama za bei za vyakula, kodi na mafuta

- Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi amesema hakuna shaka kwamba Rwanda inaunga mkono kundi la waasi la M23.

- Wanigeria wako katika mshituko kufuatia shambulizi lililouwa darzeni ya waumini Kanisani

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG