Mapigano kati ya Israel na Hamas yaingia wiki ya sita, na kusababisha hospitali nyingi kusita kutoa huduma
- Abdushakur Aboud
Maafisa wa afya wa Gaza wanasema ukosefu wa mafuta imesababisha kusitishwa kazi kwenye hospitali kadha Gaza kaskazini ambako watoto watano wachanga wamefariki Jumapili pamoja na wagonjwa 7 walokua mahtuti baada ya mashini za kuwapa oxygen kusita kufanya kazi.

1
Madaktari wajaribu kumtibu mgonjwa wakitumia mwangaza kutoka simu ya mkononi katika hospitali ya Indonesia, mjini Gaza.

2
Waandamanaji wakiimba nyimbo za kuunga mkono Palestina nje ya Bunge la Jimbo la Texas, mjini Austin Marekani, Nov 12, 2023.

3
Watoto wachanga walozaliwa kabla ya muda wametolewa katika vyombo maalum vya kuwasaidia kupumua na kupata joto katika hospitali ya Al Shifa, Gaza baada ya kukatwa kwa umeme.

4
Msichana mdogo akipeperusha bendera ya Palestina wakati wa maandamano kuunga mkono Wapalestina nje ya bunge la jimbo la Texas, mjini Austin, Nov 12, 2023.
Forum