Breaking News
Jumamosi, Novemba 14, 2026 Local time: 09:00

Majeshi ya Israeli yashambulia usiku kucha Ukanda wa Gaza, Hamas yaionya Israel kuhusu mateka wake


Majeshi ya Israeli yashambulia usiku kucha Ukanda wa Gaza, Hamas yaionya Israel kuhusu mateka wake

No media source currently available

Israeli imesema imeshambulia Ukanda wa Gaza usiku kucha huku msemaji wa jeshi la Hamas akisema kuwa wapiganaji wake wataua mmoja wa mateka 150 wakati wowote Israeli itakapolenga katika mashambulio yake maeneo ya kiraia huko Gaza.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

​
XS
SM
MD
LG