Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 25, 2024 Local time: 16:46

Kiongozi wa Kijeshi wa Sudan Jenerali al-Burhana ataka kumaliza vita nchini mwake

Kiongozi wa kijeshi wa Sudan Jenerali Abdel Fatah al-Burhan amekutana na mshirika wake mkuu rais Abdel Fatah al-Sisis siku ya Jumanne wakati wa ziara yake ya kwanza nje ya nchi tangu kuanza kwa mapigano mwezi April nchini mwake.

Viongozi hao walikutana katika mji wa El Alamen na kujadili juu ya pendekezo la al-Sisis kua mpatanishi wa mgogoro wa nchi yake, jambo ambalo al-Burhan alikubaliana nalo kulingana na taarifa kutoka ikulu ya Misri.


Pandisha zaidi

Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG