Akiwa Kenya atazungumza na wanawake na kutembelea maeneo yanayokumbwa na ukame na baadhi ya miradi inayogharimiwa na Marekani. Akizungumza na mwandishi habari wa shirika la habari la AP kwa mara ya kwanza alifafanua bayana kwamba mumewe Biden yuko tayari kugombania mhula wa pili.
Jill Biden mke wa rais wa Marekani awasili Nairobi, Kenya kituo cha pili cha ziara ya Afrika
- Abdushakur Aboud
Mke wa rais wa Marekani Jill Biden amewasili Nairobi Ijumaa tarehe 24, Februari akiwa katika ziara ya mataifa mawili ya Afrika, Namibia na Kenya akifuatana na mjuku wake Naomi
9
Mke wa rais wa Marekani Jill Biden akiwa pamoja na balozi wa Marekani nchini Kenya Meg Whitman akikutana na viongozi wanawake nyumbani kwa balozi alipowasili Nairobi.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017