Shambulizi hilo lilitokea Januari 15, siku ya Jumapili. Hizi ni picha ambazo zinaonyesha namna shambulizi hilo lilivyowajeruhi na kuharibu mali ya kanisa hilo. Picha zote na mwandishi wa VOA Austere Malivika.
DRC: Shambulizi la kanisa na athari za mlipuko wa bomu kwa raia
Shambulizi la bomu katika Kanisa la Kiprotestanti mjini Kasindi, Wilaya ya Beni, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, lilileta maafa makubwa kwa raia waliokuwa wanahudhuria ibada.

5
Wanachi wajitokeza kushuhudia shambulizi la kanisa moja mjini Kasindi, wilaya ya Beni, DRC.

6
Wanachi wajitokeza kushuhudia shambulizi la kanisa moja mjini Kasindi, wilaya ya Beni, DRC.

7
Viatu na magongo viliyobakia baada ya mlipuko wa bomu katika kanisa moja mjini Kasindi, wilaya ya Beni.

8
Eneo lililoshambuliwa kwa bomu tayari likiwa chini ya ulinzi wa jeshi la DRC