Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 08:03

Netanyahu apiga hatua katika uundaji wa serikali


Netanyahu apiga hatua katika uundaji wa serikali
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Waziri Mkuu mteule wa Israeli Jumanne amevuka hatua nyingine ya kuunda serikali baada ya bunge kuidhinisha sheria yenye mgawanyiko na kukubaliana na washirika wake wa muungano wa mrengo wa kulia.

XS
SM
MD
LG