Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 28, 2023 Local time: 13:57

Mtuhumiwa wa shambulio la Buffalo, New York afunguliwa mashtaka


Mtuhumiwa wa shambulio la Buffalo, New York afunguliwa mashtaka
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:36 0:00

Kijana mzungu mwenye umri wa miaka 18 amefunguliwa mashtaka Jumamosi jioni baada ya kuwauwa watu 10 na kuwajeruhi wengine watatu katika duka la chakula kwenye mtaa wa watu weusi mjini Baffalo, New York.

XS
SM
MD
LG