Juhudi za serikali ya Biden kupunguza kuenea kwa COVID zarejeshwa nyuma
Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden hautatekeleza amri ya kuvaa barakoa katika vyombo vya usafiri wa umma baada ya Jaji wa Mahamakama ya Serikali huko Florida kuamua amri hiyo ya miezi 14 ni kinyume cha sheria.
Matukio
-
Machi 30, 2024Movie ya Nigeria ya Over the Bridge yashamiri
-
Januari 05, 2024Maine yasema Trump hatokuwa kwenye orodha ya wagombea urais
-
Desemba 22, 2023Matatizo ya kisheria dhidi ya Trump yaendelea kujitokeza