Janga la corona limesababisha mambo menage kusitishwa katika kila pembe ya dunia ikiwa ni pamoja michezo na mashindano mbali mbali. Hali hiyo imesababisha baadhi ya wachezaji na mameneja walioambukizwa virusi hivyo kujitenga na timu zao wakati wanapokea matibabu. Miongoni mwa wachezaji maarufu walioambukizwa ni mchezaji wa Juventus' Cristiano Ronaldo na Neymar wa PSG.
Wachezaji wa kimataifa wa kandanda wanaogua COVID-19
Mambukizo ya virusi vya corona yakiingia katika awamu ya pili kwenye nchi nyingi za dunia, kuna baadhi ya wachezaji mashuhuri wa kandanda wanaougua ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi hivyo.
5
Paulo Dybala wa Juvakishangilia baada ya kufunga goli wakati wa mechi ya Italian Serie A kati ya Genoa na Juventus katika uwanja wa Luigi Ferraris mjini Genoa, Itali, Jumanne, Juni 30, 2020.(Tano Pecoraro/LaPresse via AP)
Dybala ameambukizwa COVID-19 katikati ya janga la hili huko Itali, Dybala alianza mafunzo tena mwisho wa mwezi Machi baada ya kupona kutokana na maambukizi hayo

6
Callum Hudson-Odoi wa Chelsea wakati wa mechi ya Ligi ya Premier ya Uingereza kati ya Chelsea na Arsenal katika uwanja wa Stamford Bridge, London, Uingereza, Januari 21, 2020.(AP Photo/Leila Coker)
Mchezaji wa Chelsea Callum Hudson- Odoi ametangaza ameambukizwa na COVID-19.
Hudson-Odoi ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kwanza katika Ligi ya Premier ya Uingereza kuthibitisha kuambukizwa. Winger huyo wa Chelsea 'amepona kabisa' kutokana na virusi vya corona mwisho wa mwezi Machi.

7
Paul Pogba, Manchester United - Midfielder
Midfielder wa Manchester United Paul Pogba ameondolewa kutoka katika kikosi cha Ufaransa kinachoshiriki Ligi ya Mataifa UEFA mwisho wa mwezi Agosti baada ya kuambukizwa virusi vya corona. Pogba amerejea kuendelea na mafunzo katika timu ya Manchester United katikati ya mwezi Septemba baada ya kutengwa.
Paul Pogba wa Manchester United akikimbia na mpira wakati wa mechi ya Ligi ya Premier ya Uingereza kati ya Manchester United na Tottenham Hotspur katika uwanja wa Old Trafford mjini Manchester, Uingereza, Jumapili Oktoba 4, 2020. (Carl Recine/Pool via AP)

8
Meneja wa Arsenal Mikel Arteta akitoa ishara pembeni ya uwanja kwa wachezaji wake wakati wa mechi ya Ligi ya Premier ya Uingereza kati ya Arsenal na Sheffield United katika Uwanja wa Emirates mjini London, Jumapili, Octoba 4, 2020. (AP Photo/Kirsty Wigglesworth)
Meneja wa Arsenal Mikel Arteta ameambukizwa na COVID-19 mwezi Machi 12, kulingana na tamko la rasmi la klabu hiyo kupitia tovuti yake. Amepona kikamilifu na amerejea katika shughuli za Ligi ya Premier.