Upatikanaji viungo

Breaking News

Mkutano wa SADC umefanyika nhcini Tanzania


Mkutano wa SADC umefanyika nhcini Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:04 0:00

Mkutano wa Baraza la mawaziri wa nchi wanachama wa jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika Sadc umeketi leo jijini Dar es salaam ambapo viongozi hao wanakutana kujadili utekekelezwaji maazimio ya Mkutano Mkuu wa mwaka jana sambamba na muelekeo wa mwaka ujao.

XS
SM
MD
LG