Maandamano ya kumpinga Rais huyo yameongeza kasi kote nchini na Ufaransa kabla ya siku ya mwisho ya kujiandikisha ambayo ni Jumapili Marchi 3, 2019.
Wa-Algeria waandamana kupinga Bouteflika kugombea muhula wa tano
Wa-Algeria wanamtaka kiongozi ambaye ni mgonjwa muda mrefu Abdelazi Bouteflika, 82 kutogombania tena kiti chake. Maandamano yaliyoanzishwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Algiers tarehe 22Februari 2019 yamedumu kwa siku 11.

5
Wanafunzi wakipambana na polisi wa kupambana na ghasia Algiers

6
Walgeria wapinga Rais Bouteflika kugombania mhula wa 5 wakiwa Marseille Ufaransa

7
Polisi wakiwazuia wanafunzi katika chuo kikuu cha Algiers kumpinga Bouteflika kugombania mhula wa 5

8
Polisi wakijaribu kuwatawanya waandamanaji mjini Algiers
Facebook Forum