Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Julai 23, 2024 Local time: 18:28

Wa-Algeria waandamana kupinga Bouteflika kugombea muhula wa tano

Wa-Algeria wanamtaka kiongozi ambaye ni mgonjwa muda mrefu Abdelazi Bouteflika, 82 kutogombania tena kiti chake. Maandamano yaliyoanzishwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Algiers tarehe 22Februari 2019 yamedumu kwa siku 11.

Maandamano ya kumpinga Rais huyo yameongeza kasi kote nchini na Ufaransa kabla ya siku ya mwisho ya kujiandikisha ambayo ni Jumapili Marchi 3, 2019.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG