Majina ya waliochaguliwa kuwania tuzo maarufu duniani za Oscar wametangazwa na kama ilivyokuwa ikitabiriwa na wengi, filamu za Roma , The Favourite zimtashindania tuzo kumi kila moja na wakati na Black Panther na A star is born zinafatia kwa kugombania tuzo zaidi ya sita.
Facebook Forum