Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 28, 2023 Local time: 16:58

Kauli ya spika wa bunge wa Tanzania yazua utata


Kauli ya spika wa bunge wa Tanzania yazua utata
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:08 0:00

Agizo la spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai kumtaka mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali nchini humo Mussa Assad, kufika mbele ya kamati maadili ya madaraka ya bunge kwa tuhuma za kudhalilisha bunge zimezua mjadala nchini humo.

XS
SM
MD
LG