Upatikanaji viungo

Breaking News

Ilhan Omar apongezwa na jamii ya Wasomali Marekani


Ilhan Omar apongezwa na jamii ya Wasomali Marekani
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:03:02 0:00

Jamii ya wasomali wanaoishi Marekani bado wanaendelea kusherehekea kuapishwa kwa mwanamke wa kwanza muumini wa dini ya kiislamu na mhamiaji kutoka Somalia kuwaapishwa kuwa mbunge wa Marekani.

XS
SM
MD
LG