Aretha ambaye anajulikana kama "Queen of Soul" duniani na ni mwenye mamilioni ya wafuasi duniani
" Queen of Soul" Aretha Franklin" Afariki
Aretha Franklin, mwana muziki wa Marekani, amefariki Alhamisi asubuhi baada kupigana na maradhi ya saratani kwa miaka mingi. Franklin amefariki akiwa na umri wa 76.

5
Rais Barack Obama Akimsindikiliza mwanamuziki Aretha Franklin baada ya picha yake kuzinduliwa na ghafla Mwanasheria Mkuu Eric Holder ajitokeza kumlaki kwa taadhima katika tukio lililofanyika Idara ya Sheria, Washington, Feb. 27, 2015.

6
Mwimbaji wa Soul Aretha Franklin akiwa katika mkutano na waandishi wa habari, Machi 26,1973.

7
Aretha Franklin holds her award for lifetime achievement backstage at the 36th Annual Grammy Awards ceremonies at New York's Radio City Music Hall, March 1, 1994.

8
Mwanamuziki Aretha Franklin akimsikiliza mtunzi Morton Gould, wakati mwigizaji Kirk Douglas akiangalia pembeni baada ya chakula cha usiku kilichoandaliwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Jumamosi, Disemba 3, 1994.