Aretha ambaye anajulikana kama "Queen of Soul" duniani na ni mwenye mamilioni ya wafuasi duniani
" Queen of Soul" Aretha Franklin" Afariki
Aretha Franklin, mwana muziki wa Marekani, amefariki Alhamisi asubuhi baada kupigana na maradhi ya saratani kwa miaka mingi. Franklin amefariki akiwa na umri wa 76.
1
Aretha Franklin anaimba wakati wa sherehe za kuapishwa Rais-muteule Barack Obama huko Washington, Januari.20, 2009
2
Katika Maonyesho ya Maandhimisho ya miaka 25 ya Elton John AIDS Foundation, Nov. 7, 2017, New York.
3
Muimbaji Luciano Pavarotti akiwa pamoja na Aretha Franklin katika chakula cha usiku kilicho andaliwa kwa ajili ya kutunisha mfuko wa kikundi cha kuwasaidia wanamuziki ( MusicCare ) huko New York Februari 23.
4
Mwanamuziki Aretha Franklin akicheza katika ukumbi wa Radio City Music Hall wakati wa hafla ya "Clive Davis" iliyofanyika mjini New York, 2017.