Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani amekamiisha ziara ya kutembelea mataifa matano ya Afrika ambako amezungumzia masuala ya usalama, kupambana na ugaidi na ushirikiano kati ya nchi zao.
Rex Tillerson akamilisha ziara ya wiki moja ya kutembelea nchi 5 za Afrika
5
Rex Tillerson, kulia akitembea na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta,ndani ya ikulu Nairobi, Kenya, March 9, 2018.
6
Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti akizungumza na wazir Tillerson, katika ikulu ya Djibouti.
7
Le secrétaire d'Etat américain Rex Tillerson (L) serre la main après une conférence de presse avec le ministre tchadien des Affaires étrangères, Mahamat Zene Cherif (R), à N'Djamena, au Tchad, le 12 mars 2018.
8
Tillerson Meets Buhari