Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani amekamiisha ziara ya kutembelea mataifa matano ya Afrika ambako amezungumzia masuala ya usalama, kupambana na ugaidi na ushirikiano kati ya nchi zao.
Rex Tillerson akamilisha ziara ya wiki moja ya kutembelea nchi 5 za Afrika

1
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Rex Tillerson, (katikati) akiwa na mkuu wake wa utawala Margaret Peterlin (Kushoto), akikutana na Waziri Mkuu wa ethopia Hailemariam Desalegn mjini Addis Ababa, Ethiopia, March 8, 2018.

2
Rais Idriss Deby wa Chad akimkaribisha waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Rex Tillerson Ikulu mjini N'Djamena, Chad, March 12, 2018.

3
Rais Muhammadou Buhari wa Nigeria akimkaribisha Rex Tillerson

4
Rex Tillerson akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Ndjamena Chad