Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani amekamiisha ziara ya kutembelea mataifa matano ya Afrika ambako amezungumzia masuala ya usalama, kupambana na ugaidi na ushirikiano kati ya nchi zao.
Rex Tillerson akamilisha ziara ya wiki moja ya kutembelea nchi 5 za Afrika
9
U.S. Secretary of State Rex Tillerson, left, and Kenyan President Uhuru Kenyatta pose for photographers after meeting at the State House in Nairobi, March 9, 2018.
10
U.S. Secretary of State Rex Tillerson speaks to survivors after laying a wreath during a ceremony at Memorial Park in honor of the victims of the deadly 1998 U.S. Embassy bombing, in Nairobi, Kenya, March 11, 2018.
11
Rex Tillerson atembelea maabara ya utafiti ya idara ya wanyamapori ya Kenya inayofadhiliwa na Marekani, March 11. (N. Ching/VOA)