Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Aprili 20, 2024 Local time: 03:00

Wakazi wa Catalonia wapiga kura kudai uhuru

Licha ya serikali ya Hispania kupiga marufuku kura ya maoni ya kudai uhuru wa jimbo la kaskazini la Catlonia, lakini wapiga kura walijitokeza kwa wingi kushiriki huku katika maeneo mengi walipambana na polisi.

Wa-Catalan, wakazi wa jimbo la kaskazini la Hispania Catalonia walipiga kura Jumapili katika kura ya maoni ya kudai uhuru iliyopigwa marufuku na serikali ya Madrid. Polisi walijaribu kunyakua karatsi za kupiga kura katika angalau kituo kimoja . Mahakama ya Katiba ya Hispania iliahirisha upigaji kura na serikali kusema si halali lakini watu walijitokeza kupiga kura.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG