Upatikanaji viungo

Breaking News

Jeshi la Congo lajaribu kuwaondowa waasi wa Mai Mai kutoka msitu wa Virunga

Kwa karibu wiki moja sasa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FRDC, limekua likipambana na wapiganaji wa Mai Mai katika milima ya Virunga, katika juhudi za kumaliza mauwaji mashariki ya nchi.

Pandisha zaidi

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG