Upatikanaji viungo

Sherehe za kula kiapu Ilhaan Omaar; Msomali wa kwanza kua mbunge Marekani

Ilhaan Omaar, Mwanamke wa kwanza mkimbiuzi aliyekua katika kambi ya daadab asili ya Kisomali aapishwa mbunge wa jimbo la Minnisota siku ya Jumanne tarehe 3 Januari 2017. Bi Omar anakua mbunge wa kwanza Martekani mwenye asili ya Kisomali aliyechaguliwa katika mwaka ambao sala la Uislamu ulikua juu katika kampeni za uchaguzi.
Onyesha zaidi

Ilhaan Omaar, akila kiapu katika Baraza la Wawakilishi la bunge la Minnesota
1

Ilhaan Omaar, akila kiapu katika Baraza la Wawakilishi la bunge la Minnesota

Kakake Ilhaan Omaar, akionesha Kurani aliyotumia kula kiapu.
2

Kakake Ilhaan Omaar, akionesha Kurani aliyotumia kula kiapu.

3
4

Pandisha zaidi

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG