Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Aprili 25, 2024 Local time: 23:31

Sherehe za kula kiapu Ilhaan Omaar; Msomali wa kwanza kua mbunge Marekani

Ilhaan Omaar, Mwanamke wa kwanza mkimbiuzi aliyekua katika kambi ya daadab asili ya Kisomali aapishwa mbunge wa jimbo la Minnisota siku ya Jumanne tarehe 3 Januari 2017. Bi Omar anakua mbunge wa kwanza Martekani mwenye asili ya Kisomali aliyechaguliwa katika mwaka ambao sala la Uislamu ulikua juu katika kampeni za uchaguzi.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG