Kimbunga kikali cha Matthew kimevuma katika bahari ya Carribean na mashariki ya pwani ya Marekani mwanzoni mwa mwezi wa Oktoba 2016, na kusababisha vifo vya karibu watu elfu moja na uharibifu mkubwa wa mali.
Hasara baada ya kimbunge Matthew huko Haiti na Marekani

1
Maelfu na maelfu ya nyumba zimeharibiwa na mafuriko kutokana na kimbunga Matthew, Lumberton, North Carolina October 10, 2016

2
Maji ya mafuriko kutoka mto Tar Riveryamefunika njia yote katika mji wa Greenville, North Carolina, U.S., October 11, 2016.

3
Caitlyn Cain, kushoto, na rafiki yake Sidney Daniels wakitizama hasara kutokana na mafurikoyanayotokana na kimbunga Matthew karibu na nyumbani kwake Cain, Oct. 12, 2016, huko Greenville, N.C.

4
Polisi wa Umoja wa Mataifa kutoka Bangladesh wakitoa maji ya kunywa kwa wakazi wa kijiji cha Sous-Roche, karibu na mji wa Les Cayes, Haiti, Oct. 11, 2016.