Mtetemeko wa ardhi wa wastani ulopimwa kua 5.7 kipimo cha richter umetokea huko Afrika Mashariki ikiroipotiwa kwamba kitovu chake ni Nsunga kagera Tanzania ambako watu 10 wameuwawa na zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Athari za tetemeko la ardhi huko Bukoba Tanzania

1
Mabalki ya nyumba iliyoporomoka Bukoba kutokana na tetemeko la ardhi

2
Ramani ya eneo la mtetemeko

3
Ukuta wa nyumba umeporomoka kutokana na tetemeko la ardhi Bukoba Tanzania

4
Thousands of candles are lit in Tallinn, Estonia to commemorate the tens of thousands of victims of the deportation march when, from March 25-28, 1949, more than 22,000 people in Estonia alone were forced from their homes and deported east, many to never return.