Mtetemeko wa ardhi wa wastani ulopimwa kua 5.7 kipimo cha richter umetokea huko Afrika Mashariki ikiroipotiwa kwamba kitovu chake ni Nsunga kagera Tanzania ambako watu 10 wameuwawa na zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Athari za tetemeko la ardhi huko Bukoba Tanzania

5
Sehemu ya juu ya jengo la maduka imeporomoka kutokana na tetemeko la ardhi Sept 10, 2016

6
Ufaa kwenye barabara kufuatia tetemeko la ardhi mjini Bukoba Tanzania
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017